Ticker

6/recent/ticker-posts

Ninawezaje kupata cheti cha TALAKA kutoka RITA.

 


Ndoa nyingi zilivunjwa na mahakama.  Ninawezaje kupata cheti cha talaka yangu?

  • Wasilisha nakala ya cheti chako cha ndoa kwa msajili mkuu (RITA).
  • Wasilisha nakala ya uvunjaji ya mahakama
  • Lipa ada ya lazima ambayo kwa sasa ni Tsh. 20000/=

    TANBIHI:
    Talaka yako itatambuliwa na kusajiliwa  iwapo muda uliowekwa kwa rufaa utakuwa umekwisha na hakukuwa na rufaa iliyokubaliwa na iwapo ilikubaliwa ilikwishasikilizwa na hakuna rufaa zaidi.

Chapisha Maoni

0 Maoni