MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI.
Ibara ya 143 ya katiba inasema, kutakuwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ambaye kazi yake itakuwa kuchunguza matumizi ya fedha za umma katika taasisi mbalimbali za serikali na kutoa ripoti ya uchunguzi wake.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿