Ticker

6/recent/ticker-posts

Mtoto marufuku siti za mbele za gari.



 USALAMA BARABARANI.


MTOTO wa chini ya miaka 5 hapaswi kukaa katika siti za mbele za gari, iwe peke yake au akiwa ameambatana na MTU mwingine. Ni kinyume cha kifungu cha 39D cha Sheria ya usalama Barabarani.


#sherianatehama

#usalamabarabarani

Chapisha Maoni

0 Maoni