Ticker

6/recent/ticker-posts

UHALALI WA MKATABA UNATEGEMEA MAMBO KADHAA.



UHALALI WA MKATABA UNATEGEMEA MAMBO KADHAA.


Ili MKATABA uwe halali, ni lazima wanaoingia kwenye mkataba wawe na UMRI wa miaka 18 na zaidi, lakini pia waingie katika mkataba kwa HIARI bila kulazimishwa, wawe na AKILI timamu wakati wa kuingia katika mkataba, na lengo la mkataba lisiwe kinyume cha sheria.


#sherianatehama 

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni