Ticker

6/recent/ticker-posts

Jela miaka 7, mkurugenzi wa kampuni kutoa taarifa za uongo.



Kwa mujibu wa sheria ya kanuni ya adhabu kifungu cha 316, mtu yeyote ambaye ni mkurugenzi, afisa au mkaguzi wa kampuni na anatoa taarifa za uongo kwa lengo la kumdanganya au kumtapeli mbia, mwanachama au mdaiwa wa kampuni, au kwa lengo la kumshawishi mtu yoyote kujiunga au kutoa mali yoyote kwa kampuni, anatenda kosa. Adhabu yake ni kifungo cha miaka 7.

Chapisha Maoni

0 Maoni