Ticker

6/recent/ticker-posts

Kujaribu kuchoma jengo jela miaka 14



Kwa mujibu wa sheria ya kanuni ya adhabu kifungu cha 320, kujaribu kuchoma moto jengo, chombo cha usafiri, mgodi au sehemu za kazi, vifaa au mitambo ya mgodi, au kuchoma kitu kingine karibu na vitu hivyo tajwa hapo juu katika namna inayoweza kusababisha vitu hivyo kushika moto ni kosa. Adhabu yake ni kifungo cha miaka 14.

Chapisha Maoni

0 Maoni