🦠 Kusambaza ugonjwa hatari kwa maisha ya watu, kwa uzembe au makusudi ni kosa la jinai.
📜 Kwa mujibu wa Kanuni ya Adhabu, Kifungu cha 179:
Mtu anayefanya kitendo ambacho anajua au anapaswa kujua kinaweza kusababisha kusambaa kwa ugonjwa hatari kwa maisha ya watu, anatenda kosa la jinai.
⚠️ Adhabu ni kifungo cha hadi miaka 5, au faini, au vyote kwa pamoja.
📚 Linda afya ya jamii kwa kufuata sheria na tahadhari zinazostahili.
#JunguLaSheria ⚖️ #ElimuYaSheria 📚 #KanuniYaAdhabu

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿