WANAHISA.
WANAHISA katika kampuni ni wamiliki wa kampuni ambao huweka mtaji wa kampuni kupitia kiasi cha hisa ambacho wanamiliki. Kadri mwanahisa anapokuwa na HISA nyingi, ndivyo nafasi yake ya umiliki wa kampuni huongezeka.
#sherianatehama
#sheriayamakampuni

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿