Ticker

6/recent/ticker-posts

Directors ni nani kwenye kampuni?

 


Directors ni nani kwenye kampuni?


Sheria ya makampuni inasema, "DIRECTORS" katika kampuni ndio viongozi wa juu kabisa katika utawala wa kampuni ambao wanahusika na shughuli za kila siku za uendeshaji wa kampuni. Directors wa kampuni hupatikana kwa kuchaguliwa na wanahisa katika mkutano mkuu wa mwaka wa kampuni.


#sherianatehama 

#sheriayamakampuni

Chapisha Maoni

0 Maoni