LIKIZO YA UZAZI KWA MWANAUME NI HAKI YA KISHERIA.
KIFUNGUcha 34 Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Sura ya 366.
Mwanaume yeyote ambaye ni mwajiriwa, inapotokea MKE wake amejifungua, ana HAKI ya kupata likizo ya malipo ya siku 3 mpaka 4 kutegemea na HALI ya afya ya mtoto au mama aliyejifungua.
LIKIZO hiyo inatakiwa iombwe au itolewe ndani ya siku saba tangu mtoto alipozaliwa, na mwajiriwa awe baba halali wa mtoto.
#sherianatehama
#sheriayakazi

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿