Katiba ndio sheria au muongozo mkuu wa nchi, na sheria zote zingine zinazotungwa na bunge ni lazima zisikinzane au kuharibu maana halisi ya vifungu vya katiba.
Endapo ikatokea kutungwa kwa sheria ambayo iko kinyume na katiba, MAHAKAMA ina nguvu ya kuitangaza sheria hiyo kuwa ipo kinyume na katiba na haitakiwi kutumika.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿