Ticker

6/recent/ticker-posts

Sheria inaruhusu mtu binafsi kukamata mhalifu. Na Johnson Yesaya


JE UNAJUA KUWA SHERIA INAKURUHUSU KUMKAMATA MTU ALIYEFANYA UHALIFU MBELE YAKO?

Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura 20 kifungu namba 16, inamruhusu mtu yeyote kumkamata mwalifu na kumweka kizuizini wakati utaratibu wa kumpeleka polisi ukifanyika.

Angalizo, katika kutekeleza kifungu hiki, hairuhusiwi kutumia nguvu kupitiliza au kumwondolea hadhi ya utu mtuhumiwa.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni