Ticker

6/recent/ticker-posts

Diplomasia.


UMEWAHI KUSIKIA NENO DIPLOMASIA?

Diplomasia ni mahusiano ya kimataifa kati ya taifa moja na lingine, na mahusiano hayo yanaweza kuwa ya kisiasa, kiuchumi, kijeshi nk

Katika kuhakikisha kuwepo kwa mahusiano hayo, kuna balozi mbalimbali za nchi za kigeni hapa Tanzania na balozi za Tanzania huko katika nchi hizo.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni