Ticker

6/recent/ticker-posts

Kesi za ndoa au talaka huanzia ngazi ya chini ya mabaraza ya usuluhishi.


JE UNAJUA KUWA KESI ZA NDOA HAZIPELEKWI MOJA KWA MOJA MAHAKAMANI?

Endapo una matatizo katika ndoa yako na unataka kupeleka kesi mahakamani unatakiwa uanzie kwanza katika bodi za usuluhushi yaani mabaraza ya ndoa ya kanisa au Bakwata kwa dini ya kiislamu.

pia kesi hizi zinaweza kupelekwa ustawi wa jamii kwanza ili kutolewa maamuzi kabla ya kupelekwa mahakamani.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni