Ticker

6/recent/ticker-posts

Mambo yanayoweza kuibatilisha ndoa.


MAMBO YANAYOWEZA KUIFANYA NDOA KUWA BATILI KUTOKANA NA SHERIA YA NDOA YA TANZANIA.

1. kama wanandoa ni wa jinsia moja
2. kama wanandoa wanamahusiano ya damu yaani ndugu
3. kama wanandoa wana miaka chini ya kumi na nane
4. kama ndoa ni ya kulazimishwa bila idhini ya wanandoa wenyewe.

Kufahamu zaidi tafuta kifungu cha 38 cha sheria ya ndoa Tanzania.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni