WOSIA ni maelezo kwa njia ya maandishi au mdomo ambayo huorodhesha mali na mgao wa mali hizo pindi mmiliki mwenye kuandika wosia huo atakapofariki dunia.
Umuhimu mkuu wa wosia ni kupanga usimamizi wa Mali za marehemu pamoja na kuepusha migogoro kwa ndugu hasa pale mmiliki wa mali fulani anapofariki dunia.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿