Ticker

6/recent/ticker-posts

Sheria zinazobeba makosa ya jinai.


Unazijua sheria zinazobeba makosa ya jinai?

sheria zipo nyingi sana zenye makosa ya jinai lakini zifuatazo zinatumika sana.

1. Kanuni ya adhabu sura ya 16 (penal code)
2. sheria ya makosa ya mtandao (Cyber Crimes Act)
3. Sheria ya utakatishaji wa fedha (Money Laundry Act)
4. sheria inayohusu makosa ya rushwa (The prevention and Combating of Corruption Act)

na zinginezo nyingi, ongeza nyingine unayoifahamu katika comments zetu hapo chini.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni