Ticker

6/recent/ticker-posts

Jinai kubwa kabisa katika makosa ya jinai Tanzania.


Je unazijua jinai kubwa kabisa katika makosa ya jinai Tanzania?

1. Uasi 
2. Mauaji
3. Ugaidi
4. Utakatishaji fedha
5. Biashara ya kuuza watu
6. Ubakaji
7. Biashara ya dawa za kulevya.
Na makosa mengineyo mengi.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni