UMEWAHI KUSIKIA NENO BRELA?
Brela ni taasisi iliyopewa mamlaka ya kisheria katika kusajili makampuni, nembo au logo za makampuni, majina ya makampuni n.k, sheria inayotumika katika kuongoza makampuni inaitwa Companies Act.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿