UPATU AU MICHEZO YA KUCHANGIANA PESA NI KOSA LA JINAI.
Kanuni ya adhabu SURA ya 16 KIFUNGU 171A & B.
UPATU ni kosa la jinai ambalo linaweza kutendwa kwa kukusanya FEDHA au MALI kutoka kwa WATU kwa kuwaahidi kwamba watapata FAIDA zaidi ya kiwango walichoweka kwa KIPINDI fulani bila WAO kufanya KAZI yoyote. Kuchangia FEDHA katika UPATU ni HATARI kwa kuwa PESA zako zinaweza kupotea na hutapata haki ya kushtaki au kudai.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿