Ticker

6/recent/ticker-posts

UWAKILISHI KATIKA MAHAKAMA ZA MWANZO.



UWAKILISHI KATIKA MAHAKAMA ZA MWANZO.


Sheria ya mahakama za mahakimu, Sura 11 KIFUNGU 33.


MTU katika kesi ya madai iliyopo mahakama ya mwanzo, anaweza KUSIMAMA mwenyewe kutetea kesi yake, au anaweza kuwakilishwa na WAKILI, NDUGU wa karibu au MTU anayeishi naye katika KAYA moja. Hii ni baada ya maombi ya kuwakilishwa kukubaliwa na mahakama.


#sherianatehama 

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni