KIFO CHA MWANAHISA.
MWANAHISA anapofariki katika kampuni, HISA zake hubaki na zinaweza kurithiwa na warithi wake kupitia utaratibu wa usimamizi wa mirathi. Ikumbukwe kuwa, HISA ni mali kama zilivyo mali zingine na zinaweza kuuzwa, kugawanywa au kununuliwa na MTU mwingine.
#sherianatehama
#sheriayamakampuni

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿