NDOA CHINI YA MIAKA 18 NI UBAKAJI.
KUOA binti wa chini ya miaka 18, kunapelekea KOSA la UBAKAJI. Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, MTU anayepaswa kuingia katika NDOA ni yule wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, hata binti akiridhia kuolewa chini ya umri, haiondoi hatia au JINAI kwa mume aliyeoa na kumfanya MTOTO kama MKE.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿