Je unajua kuwa ni kosa kisheria kuingilia mawasiliano ya mtu mwingine bila ruhusa yake au kwa nia ovu?
Kuingilia mawasiliano kuna tafsiri nyingi, yaweza kuwa kwa kutumia kifaa fulani kama compyuta kusoma au kudukua taarifa za kimawasiliano kutoka katika simu au kifaa chochote kingine cha mawasiliano.
Yaweza kuwa kusoma au kusikiliza sauti ya mazungumzo ya watu kutoka katika vifaa vyao bila ruhusa yao au mahakama..
makosa haya huondoa haki ya faragha na mtu anaweza kutozwa faini kutokana na adhari za kitendo chake.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿