Je unajua kazi za Jeshi la Polisi Tanzania?
1 Kudumisha amani
2 Kulinda mali na raia
3 Kukamata na kuweka kizuizini wahalifu
4 Kuzuia na kuepusha uhalifu n.k
Jeshi linaongozwa kwa mujibu wa sheria na kanuni mbalimbali, hivyo katika kutekeleza majukumu yao wanaruhusiwa kubeba silaha za moto
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿