Ticker

6/recent/ticker-posts

Sifa au vigezo vya kisheria vinavyoruhusu mtu kuingia katika mkataba.


Je! unajua vigezo vya mtu kuingia katika mkataba kisheria?

1. Awe na umri unaozidi miaka 18
2. Awe na akili timamu wakati wa kuingia mkataba husika
3. Aingie katika mkataba kwa ridhaa yake bila kulazimishwa
4. Jambo au biashara katika mkataba iwe halali kisheria na sio haramu

Katika masuala mengine, mtoto anaweza kuingia katika mkataba kwa kuwakilishwa na mtu mzima, hasa masuala ambayo ni mahitaji muhimu ya mtoto.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni