Mikataba ya kimataifa ni makubaliano ambayo huingiwa na serikali za nchi mbili au zaidi kuhusu jambo fulani, mara nyingine mikataba ya kimataifa inaweza kuingiwa na watu binafsi lakini ni lazima wawe wanatoka katika mataifa tofauti.
Kwa majina ya kiingereza mikataba inaweza kuitwa conventions, agreements, au international contracts.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿