Je umewahi kusikia ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali?
Hii ni ofisi ambayo inaongozwa na mwendesha mashtaka mkuu wa serikali yaani DPP, ambayo kazi yake kubwa ni kushtaki mahakamani katika makosa ya jinai kwa niaba ya serikali..
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿