Unaposema hakimiliki au copyright inamaanisha haki aliyomilikishwa kisheria mtunzi au mwandishi wa kazi fulani kama kitabu, jarida, sauti, video au sauti yenye video.
Kwa sheria ya Tanzania, haki hizi zinatolewa kwa kipindi chote cha maisha ya mmiliki na nyongeza ya miaka hamsini baada ya kifo cha mmiliki.
Copyright and Neighbouring Act 1999 section 14 & 15
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿