Je unajua kuwa kuoa au kuolewa na ndugu yako wa damu kunabatilisha ndoa?
SHERIA ya ndoa inawataka watu wanaofungu ndoa wasiwe watu wenye uhusiano wa damu, na endapo watu wa namna hiyo wakifunga ndoa basi ndoa hiyo ni batili na haiwezi kuwa halali kisheria.
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿