Ticker

6/recent/ticker-posts

Askari magereza na mamlaka ya kipolisi



Kwa mujibu wa Sheria ya Magereza, Sura ya 58, Kifungu cha 10, Askari Magereza ana mamlaka ya Askari Polisi anapowasafirisha wafungwa, kuwakamata waliotoroka, kuzuia kutoroshwa kwa mfungwa, au kukabiliana na shambulio dhidi ya gereza.

Chapisha Maoni

0 Maoni