Ticker

6/recent/ticker-posts

HUDUMA ZETU

HUDUMA ZETU

1.Tunaandaa mada mbalimbali kuhusu taratibu mbalimbali za kisheria katika kufanya mambo ya kisheria mfano taratibu za kununua kiwanja, nyumba n.k

2.Usaidizi wa kisheria, endapo una tatizo la kisheria na unahitaji mtu wa kukupa mwongozo.

3.Tunatoa elimu kwa umma kuhusu sheria, na tunaandaa makongamano ya kujifunza sheria

4.Kama we ni mwanasheria unaweza kuandaa mada yako nzuri na sisi tukaiweka katika tovuti yetu ili watu wanufaike na ulichokiandika.

5.Tunapokea mialiko kutoka katika taasisi au makampuni na ofisi mbalimbali kwa lengo la kwenda kuwatembelea na kufunzana masuala ya kisheria.

6.Huduma nyingine yoyote endapo itaombwa na itawezekana kuitekeleza.

Chapisha Maoni

0 Maoni