Ticker

6/recent/ticker-posts

MICHANGO

MICHANGO

Mwizi anatabia ya kuchukua mali ya mtu bila ruhusa ya mmiliki au kwa kutumia nguvu, sisi kama Jungu La Sheria tunalaani vikali tabia hiyo ndio maana tunakuomba wewe mdau wetu au mnufaika wa mada zetu uweze kuchangia shughuli hii ili iendelee.

Kwa mwenye moyo wa kuchangia unakaribishwa kuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 100 kupitia M-Pesa yetu kwa namba 0758218269, pia unaweza kuchangia vifaa kama kompyuta, na vifaa vya ofisi.

Kwa wewe usiependa kuchangia endelea kufaidika bure..

Chapisha Maoni

0 Maoni