Ticker

6/recent/ticker-posts

MWENYE NYUMBA KURUHUSU MSICHANA KUNAJISIWA KATIKA NYUMBA YAKO.



KIFUNGU CHA 141 CHA KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 SHERIA ZA TANZANIA.


Mtu yeyote ambaye akiwa ni  mwenye nyumba au mkazi wa  nyumba anaangalia au anafanya  au kusaidia kuangalia au kutunza  nyumba hiyo, atamshawishi au  anajua msichana wa umri wa  chini ya miaka kumi na tano kuja  mara kwa mara au kuwepo hapo  nyumbani kwa madhumuni ya kujihusisha na ngono na  mwanaume yeyote ikiwa ngono  hiyo ilikusudiwa kufanywa na  mwanaume yeyote, atakuwa  ametenda kosa na atawajibika kwa adhabu a miaka mitano.


Isipokuwa kwamba itakuwa ni  utetezi wa kutosha chini ya  shitaka chini ya kifungu hiki  iwapo itabainishwa mbele ya  mahakama kwamba alikuwa na  sababu ya kutosha  kumsababisha aamini na  anaamini kwamba msichana  huyo alikuwa na umri unaozidi  miaka kumi na mbili.


#hakizabinadamu

#haki

#sheria

#jungulasheria

#ijuesheria

Chapisha Maoni

0 Maoni