SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI SURA YA 20 ILIYOREJEWA 2019 KIFUNGU CHA 146 KINASEMA;
Mahakama yoyote yenye nia ya kumhoji mtu kama shahidi, katika kesi yoyote inayoendelea mbele yake, mtu yoyote aliyezuiwa gerezani ndani ya mipaka ya mamlaka yake inaweza kutoa amri kwa afisa msimamizi wa gereza kumtaka kumleta mfungwa huyo katika ulinzi sahihi, katika muda utakaotajwa kwenye amri, mbele ya mahakama kwa mahojiano.
Afisa msimamizi, baada ya kupokea amri, atatakiwa kutenda kwa mujibu wa amri hiyo na atalazimika kutoa ulinzi wa kutosha kwa mfungwa huyo wakati akiwa nje ya gereza kwa madhumuni yaliyoelekezwa kwenye amri.
IMEANDIKWA NA;
Mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_ )
Wa Jungu la sheria Tanzania.
0758218269/0628729934.
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿