Sheria ya madhara 🛣️
ABIRIA wanaruhusiwa kisheria kumshtaki na kuomba FIDIA kutoka kwa DEREVA aliyesababisha AJALI kwa uzembe wake na kupelekea ABIRIA kupata madhara ya MWILI, AKILI au VIFO. Endapo VIFO vimetokea katika AJALI, ndugu na watu wa karibu wa marehemu watadai fidia kwa niaba ya marehemu.
#sherianatehama
#sheria


0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿