Sheria za kimataifa ⚖️
UBALOZI ni sehemu ambayo kwa mujibu wa Sheria za kimataifa ni ardhi ya TAIFA ambalo ubalozi huo unaliwakilisha. Mfano eneo lote ambapo upo UBALOZI wa marekani, ni eneo la marekani na yote yanayofanyika ndani ya UBALOZI huo ni sawa na kuwa yanafanyika katika nchi ya marekani.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿