"Power of attorney" ni makubaliano yanayohamisha mamlaka ya kusimamia mali au jambo fulani kutoka kwako kwenda kwa MTU mwingine. Unapotoa mamlaka yako kwenda kwa MTU mwingine, basi MTU huyo mwingine atafanya kila jambo kwa niaba yako na ni sawa kama umefanya wewe.
Mara nyingi mamlaka ya aina hii hutolewa endapo mhusika hawezi kushughulikia suala lake mwenyewe kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ugonjwa hivyo kuamua kumteua muwakilishi wa kisheria.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿