Ticker

6/recent/ticker-posts

Kusaidia mfungwa kutoroka jela miaka 7.



Kwa mujibu wa kifungu cha 117 cha sheria ya kanuni ya adhabu, ni kosa la jinai kumsaidia mfungwa kwa namna yoyote kutoroka jela

Adhabu ya kosa hilo ni kifungo jela kwa kipindi cha miaka 7.

Chapisha Maoni

0 Maoni