Kwa mujibu wa kifungu cha 318 cha Kanuni ya Adhabu, ni kosa la jinai kwa mtumishi wa umma aliyepewa jukumu la kukusanya kodi, mapato au fedha za serikali, kutoa taarifa isiyo ya kweli kuhusu makusanyo yaliyokusanywa kwa lengo la udanganyifu.
Adhabu ya kosa hilo ni kifungo jela kwa kipindi cha miaka 7.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿