Kwa MUJIBU wa sheria ya ushahidi sura namba 6 kifungu 128(1) and (2), endapo shahidi hawezi kutoa ushahidi kwa kuzungumza, Sheria inamruhusu kutumia njia zingine kama maandishi na alama. Ushahidi wote unaopatikana chini ya kifungu hichi huhesabika kama ushahidi wa mdomo.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿