Ticker

6/recent/ticker-posts

MKE na MUME wanaweza kuibiana.



Kwa MUJIBU wa Kanuni ya Adhabu Sura ya 16, Kifungu 264, sheria inatamka bayana kuwa, MKE na MUME wanaweza kuibiana, na kushtakiwa au kukutwa na makosa ya wizi dhidi ya mwenzi wake. Hivyo mtu anayechukua kitu au mali ya mwenzi wake katika namna inayoangukia katika tafsiri ya wizi, basi mtu huyo atakuwa ametenda kosa la wizi.


#sherianatehama 

#sheria 

Chapisha Maoni

0 Maoni