Ticker

6/recent/ticker-posts

KUHIFADHI MALI ILIYOIBWA MIAKA "10" JELA.




KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 311.

KIFUNGU CHA 311 KINASEMA;

Mtu yeyote ambaye anapokea au anahifadhi chombo chochote, fedha, dhamana ya thamani au mali nyingine kama iwayo, huku akijua au akiwa na sababu ya kuamini kwamba mali hiyo imeibiwa, imenyang’anywa, imechukuliwa kimakosa au imepatikana kinyume cha sheria, imebadilishwa au imeuzwa isivyo halali kisheria atakuwa anatenda kosa na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha miaka kumi.

Imeandikwa na mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_)
Wa Jungu la sheria Tanzania
0758218269/0628729934

Chapisha Maoni

0 Maoni