Kwa MUJIBU wa Sheria ya ardhi Tanzania, Tafsiri ya neno ardhi ni sehemu ya juu ya uso wa dunia pamoja na vitu vyote vilivyojishikiza katika sehemu hiyo ya ardhi ikiwemo nyumba, miti n.k Madini na rasilimali zingine Kama mafuta na gesi katika ardhi ni mali ya umma bila kujali ardhi inamilikiwa na MTU mwingine.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿