SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA YA MWAKA 2010 KIFUNGU CHA 98 na 99.
Sheria ya mawasiliano ya kielektroniki na posta ya mwaka 2010, katika kifungu cha 98, kinazitaka Kampuni za mawasiliano, wafanyakazi wa Kampuni na mawakala wa kampuni za huduma za mawasiliano, kutunza na kutozitoa taarifa za wateja wao kwa watu wengine kinyume Cha sheria.
Hakuna MTU anayeruhusiwa kutoa taarifa za mteja isipokuwa tu kama imeruhusiwa na Sheria kufanya hivyo. Taarifa za mteja zinaweza kutolewa endapo zitahitajika na mahakama, maofisa wa usalama, mabaraza ya usuluhishi na kwa Mujibu wa Sheria tu.
Imeandikwa na mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_)
Wa Jungu la sheria Tanzania
0758218269/0628729934
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿