Kwa MUJIBU wa Sheria ya mwenendo wa madai na sheria ya usimamizi wa mirathi, MDAI anapofariki wakati Kesi inaendelea au ikiwa tayari mahakama imetoa amri dhidi ya MDAIWA, kifo hicho hakitaathiri HAKI ya mdai ambayo tayari ilishatangazwa na mahakama. Wasimamizi wa mirathi ya marehemu wanayo haki kuendelea na kesi pale ilipoishia kutegemeana na mazingira mbalimbali.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿