Ticker

6/recent/ticker-posts

Umiliki wa ardhi wa pamoja.



Kwa MUJIBU wa Sheria ya Ardhi, kifungu cha 159, wanandoa wamepewa ruhusa ya moja kwa moja kumiliki ardhi katika umiliki wa pamoja kama mke na mume. Umiliki wa aina hii ni maalumu kwa wanandoa lakini unaweza kutolewa kwa watu wengine ambao sio wanandoa kwa kibali cha mahakama.

Chapisha Maoni

0 Maoni