🚫 Kuomba omba au kumtuma mtoto kuomba omba katika maeneo ya umma ni kosa la jinai.
📜 Kwa mujibu wa Kanuni ya Adhabu – Kifungu cha 176(b), mtu ambaye:
• 💰 Anazurura au anasimama mahali pa umma kwa lengo la kuomba sadaka.
• 💰 Anajaribu kukusanya msaada au sadaka kutoka kwa watu barabarani
• 👶 Anamshawishi au kumtuma mtoto kuomba omba
⚠️ Kitendo hicho ni kosa la jinai chini ya sheria za Tanzania na adhabu yake ni faini isiyozidi laki moja au kifungo kisichozidi miezi mitatu jela au vyote kwa pamoja.
#JunguLaSheria ⚖️
#ElimuYaSheria 📚
#TanzaniaLaw 🇹🇿
#LegalAwareness

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿