Ticker

6/recent/ticker-posts

Taarifa za SIRI.



Kwa MUJIBU wa Sheria ya Usalama wa Taifa, kifungu cha 5. Ni kosa la jinai kwa mtu yeyote kutoa taarifa za siri za nchi ambazo zimebainishwa kuwa ni taarifa za siri kwenda kwa mtu mwingine yeyote ambaye si mlengwa au mhusika wa taarifa hizo na kwa namna ya kuhatarisha usalama wa Taifa. Adhabu ni kifungo kisichozidi mika ishirini.

#sherianatehama 
#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni