Ticker

6/recent/ticker-posts

Mali zisizo na maelezo ni rushwa.



Kwa MUJIBU wa kifungu cha 27 Cha Sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa, ni Kosa kwa mtumishi wa umma kumiliki mali zisizoendana na kipato chake, au kuishi maisha ya anasa yasiyoendana na kipato chake. Adhabu ni kifungo kisichopungua miaka 7 jela au faini isiyopungua Milioni 10 au vyote kwa pamoja, ikiwemo kutaifishwa kwa mali hizo husika.


#sherianatehama 

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni